KILIMO CHA MAHINDI - SEHEMU YA KWANZA

SAFARI YA KILIMO (BUNDUKI) Kilimo kilianza rasmi mnamo mwezi wa kumi  mwaka 2017. Harakati za ukodishaji na uandaaji wa shamba zilianza ...

SAFARI YA KILIMO (BUNDUKI)

Kilimo kilianza rasmi mnamo mwezi wa kumi  mwaka 2017.
Harakati za ukodishaji na uandaaji wa shamba zilianza mapema mwezi huo.


Hapa nimekuekea stori kwa ufupi ili kuweza kufahamu kilichoendelea katika harakati hizo.
HAPA NI BAADA YA MAHINDI KUOTA (Maeneo ya senjele)


Sehemu ya shamba ambayo ilionekana mahindi kutoota vema.

Mahindi yakiendelea kukua vema sehemu ya shamba. - hapa ni baada ya wiki nne

Ukuaji baada ya wiki tano mpaka sita
Hapa sasa ni muda muafaka wa kuanza palizi.Sehemu ya shamba ambayo inaonekana kuwa na majani mengi. uhitaji wa palizi hapa ni mkubwa ukilinganisha na maeneo mengine.


Hapa ni wakati wa kutia mbolea shambani. Bunduki na bwana Ummari wakiwa katika Harakati hizo. hii inaitwa mbolea ya DAP ikichanganywa na UREA

Umwagiliaji wa dawa ya kuuwa majani shambani. hii ni moja ya hatua ambazo ni muhimu na kusaidia majani kufa. Pia dawa hii hutumika pale ambapo palizi imechelewa/kukosekana.

Matokeo ya dawa hii huonekana baada ya masaa 24 (siku moja)
Mr bunduki akiwa katika harakati za umwagiliaji wa dawa ya kuuwa majani


Mahindi yakiendelea kukua kwa afya njema
Kwa habari nyingine nyingi usisite kutembelea blog hii sehemu ya pili ya kilimo hiki

asanteCOMMENTS


Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,28,Dini,98,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,6,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: KILIMO CHA MAHINDI - SEHEMU YA KWANZA
KILIMO CHA MAHINDI - SEHEMU YA KWANZA
https://1.bp.blogspot.com/-zU6aKfSzVRk/Wvv72Fvit9I/AAAAAAAACbs/iUItDgp05WU5VtBaV_-fndZ7ct5kl57OwCLcBGAs/s400/20171217_132141.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-zU6aKfSzVRk/Wvv72Fvit9I/AAAAAAAACbs/iUItDgp05WU5VtBaV_-fndZ7ct5kl57OwCLcBGAs/s72-c/20171217_132141.jpg
mrbunduki
https://www.mrbunduki.com/2018/05/kilimo-cha-mahindi-sehemu-ya-kwanza.html
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/2018/05/kilimo-cha-mahindi-sehemu-ya-kwanza.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content