MAMBO YANAYOHARIBU SWAUM

Yanayoharibu Saumu Kwa kuwa Mwislamu huwa na hamu kubwa ya kuukaribisha mwezi wa Ramadhani, kadhalika anatakiwa kuwa na hamu ya kuji...

Yanayoharibu Saumu

Kwa kuwa Mwislamu huwa na hamu kubwa ya kuukaribisha mwezi wa Ramadhani, kadhalika anatakiwa kuwa na hamu ya kujichunga na mambo ambayo huenda yakamharibia saumu yake. Na mambo yenyewe ni haya:

1. Kula japo kitu kidogo sana;

2. Kunywa hata kama ni tone moja;

3. Kumwingilia mwanamke mchana hata kama manii hayakutoka;

4. Kujitoa manii kwa kujichezesha, au kwa kumchezesha mwanamke hata kama ni mkeo pia kunatengua;

5. Kutooga Janaba, Hedhi, au Nifasi hadi alfajiri pasina sababu ya udhuru maalumu pia kunabatilisha Saumu;

6. Kujifikisha vumbi - zito - kooni makusudi na kadhalika moshi wa sigara pia hubatilisha;


7. Kujitapisha makusudi;

8. Kumkadhibisha Mwenyezi Mungu au Mtume wake Mohammad (s.a.w.) au Maimamu watakatifu kuwa katika jambo fulani walisema hivi hali ni uongo kunabatilisha Saumu;


WABILLAH TAWFIIQCOMMENTS


Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,29,Dini,99,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,6,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: MAMBO YANAYOHARIBU SWAUM
MAMBO YANAYOHARIBU SWAUM
https://1.bp.blogspot.com/-PM1SfAVV0eY/Wv1v3TwfJeI/AAAAAAAACeo/bqm0uIrjGhIZJ6DbGyp17nVSsPkkHS64gCPcBGAYYCw/s320/ramadhan_kareem_by_sammiharja.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-PM1SfAVV0eY/Wv1v3TwfJeI/AAAAAAAACeo/bqm0uIrjGhIZJ6DbGyp17nVSsPkkHS64gCPcBGAYYCw/s72-c/ramadhan_kareem_by_sammiharja.jpg
mrbunduki
https://www.mrbunduki.com/2018/05/mambo-yanayoharibu-swaum.html
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/2018/05/mambo-yanayoharibu-swaum.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content