KATIKA KUFANYA UTALII VIJIJINI Kuna baadhi ya siku unaweza ukajikuta umetembelea vijiji ambavyo ni vidogo lakini moyo wako ukafurahika na...
KATIKA KUFANYA UTALII VIJIJINI
Kuna baadhi ya siku unaweza ukajikuta umetembelea vijiji ambavyo ni vidogo lakini moyo wako ukafurahika na kujikuta kama umefanya utalii wa ndani.
Hapa ni baadhi ya picha tukiwa na jamaa katika kijiji cha Senjele Wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe.
 |
Hiki ndicho kijiji cha Senje kinavoonekana kwa upande wa bondeni. |
 |
Vijana wakiwa mapumzikoni kwa mwenyeji wao. |
 |
Kwa mbali ikionekana milima ya mji wa Mbozi |
 |
Kijiji cha Senjele kwa upande wa barabarani |
COMMENTS