WAZAZI WALISEMA
"Mtembezi hula miguu yake"
"Asiyefanya kazi na asile"
Maneno haya yalikuwa na maana ya kumhimiza mtoto/kijana katika kujituma na kuwatumikia wazazi wake. Na kama akienda kinyume basi atakosa fadhila za wazazi wake.
Pia kumfanya mtoto asizidishe michezo akaacha kazi za nyumbani.
CHUKUA HIYO ITAKUFAA

COMMENTS