Mgeni wetu karibu, Kwa nyoyo zilo kunjufu
Mgeni mstarabu, alotoka kwa Raufu
Tunataraji thawabu, sisi tulo wakosefu
Mwezi ulo na neema, Allah tuhifadhi nao
Mgeni mstarabu, alotoka kwa Raufu
Tunataraji thawabu, sisi tulo wakosefu
Mwezi ulo na neema, Allah tuhifadhi nao
COMMENTS