Kuna baadhi ya mambo zamani ukifanya ilikuwa unaonekana mjanja lakini kwa sasa ni zilipendwa.
Ilikuwa enzi hizo, wenyewe sasa wazee
Kupenda penda vya dezo, Mwanamke akulee
Kwa leo hayo mawazo, bora mbali yapotee
KWASASA SIO UJANJA, ZILIKUWA ENZI HIZO
Kupenda penda vya dezo, Mwanamke akulee
Kwa leo hayo mawazo, bora mbali yapotee
KWASASA SIO UJANJA, ZILIKUWA ENZI HIZO
Kopa kopa kila kona, na kuwazungusha watu
Mdai ukimuona, unakimbilia MWITU
Kwa sasa hayo hakuna, hii dunia ya tatu
KWA SASA SIO UJANJA, ZILIKUWA ENZI HIZO
Yalipitwa na wakati, mambo ya ufukunyuku
Kutoa habari kati, kuleta huko na huku
Jirani kajenga bati, kwenda mchinjia kuku
KWA SASA SIO UJANJA, ZILIKUWA ENZI HIZO
Ilikuwa ni ujanja, enzi hizo sio sasa
Kwa wale wenye mkwanja, kuweka mbele anasa
Mambo ya kuonja onja, siku wanawake TISA
KWA SASA SIO UJANJA, ZILIKUWA ENZI HIZO
ni mawazo yangu tu
IMEANDIKWA NA
Mdai ukimuona, unakimbilia MWITU
Kwa sasa hayo hakuna, hii dunia ya tatu
KWA SASA SIO UJANJA, ZILIKUWA ENZI HIZO
Yalipitwa na wakati, mambo ya ufukunyuku
Kutoa habari kati, kuleta huko na huku
Jirani kajenga bati, kwenda mchinjia kuku
KWA SASA SIO UJANJA, ZILIKUWA ENZI HIZO
Ilikuwa ni ujanja, enzi hizo sio sasa
Kwa wale wenye mkwanja, kuweka mbele anasa
Mambo ya kuonja onja, siku wanawake TISA
KWA SASA SIO UJANJA, ZILIKUWA ENZI HIZO
ni mawazo yangu tu
IMEANDIKWA NA
COMMENTS