NDOA ZA SIKU HIZI

Kuna tofauti kubwa kati ya ndoa za zamani na ndoa za siku hizi. Mtunzi ameelezea mapungufu ya ndoa za siku hiziNJOO tukae kwa miezi, au mwaka muda huo,
Kama hayo huyawezi, kwanza kwa majaribio,
Na kukuoa siwezi, kukuoa mbiombio,
Ndoa nyingi siku hizi, huwa ni majaribio.

Sio ndoa ni upuzi, ndoa za mashikilio,
Muyamalize mapenzi, halafu awe mkeo,
Hayo mimi siyawezi, siyawezi mambo hayo,
Ndoa nyingi siku hizi, huwa ni majaribio.
Muda mimi sipotezi, sikiza nikwambiayo,
Hayo mambo ya kilevi, kawatafute ambao,
Pamoja nyote walevi, wanaoyapenda hayo,
Ndoa nyingi siku hizi, huwa ni majaribio.
Kunizalisha ziwezi, kama mimi si mkeo,
Nawaheshimu wazazi, napenda heshima yao,
Kama kunioa huwezi, sitaki majaribio,
Ndoa nyingi siku hizi, huwa ni majaribio.
Kwanza uzae watoto, ndoa za kisiku hizi,
Kwako akipata pato, kumkataa huwezi,
Ubakie na majuto, ya watoto limbikizi,
Ndoa nyingi siku hizi, huwa ni majaribio.
Kwaherini wanandoa, mimi hayo siyawezi,
Ubora wa mke ndoa, ndizo njema simulizi,
Mume asetaka ndoa, si mume ni jinamizi,
Ndoa nyingi siku hizi, huwa ni majaribio.

COMMENTS


Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,29,Dini,99,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,6,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: NDOA ZA SIKU HIZI
NDOA ZA SIKU HIZI
Kuna tofauti kubwa kati ya ndoa za zamani na ndoa za siku hizi. Mtunzi ameelezea mapungufu ya ndoa za siku hizi
https://1.bp.blogspot.com/-Pui65IKQWYc/X7t5ztCmbtI/AAAAAAAAa50/q1vqh8cEY9s3OGCR1hkLzWAJUm3JQS_egCLcBGAsYHQ/s320/marriage1.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-Pui65IKQWYc/X7t5ztCmbtI/AAAAAAAAa50/q1vqh8cEY9s3OGCR1hkLzWAJUm3JQS_egCLcBGAsYHQ/s72-c/marriage1.jpg
mrbunduki
https://www.mrbunduki.com/2019/08/ndoa-za-siku-hizi.html
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/2019/08/ndoa-za-siku-hizi.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content