Leo tunakuletea taarifa rasmi ya kipindi kipya ambacho kitajulikana kwa jina la "SITOSAHAU"
Kipindi ambacho kitakuwa kinazungumzia matukio, historia za watu mbali mbali za kutisha na za kusisimua ambazo zimewakumba watu mbali mbali katika maisha yao.
Panapo majaaliwa Kipindi hiki tutakifungua rasmi siku ya JUMAMOSI tarehe 01/02/2020. Ni kipindi ambacho kitakuwa kinakujia kila siku ya Jumamosi.
LAKINI PIA.
Kama nawe una kisa au stori ambayo unapenda kushea nasi, iwe fupi au ndefu basi unaweza kuwasiliana nasi katika mawasiliano yetu yaliyopo hapo katika blog yetu sehemu ya MAWASILIANO.
Unaweza kuandika / kututumia sauti kupitia whatsapp yetu au unaweza kutuma video.
Kipindi kitakuwa kinaruka moja kwa moja katika channel yetu ya youtube inayojulikana kwa jina la "bunduki.com" Pamoja na blog yetu hii.
Kipindi kitakuwa kinaruka moja kwa moja katika channel yetu ya youtube inayojulikana kwa jina la "bunduki.com" Pamoja na blog yetu hii.
ASANTE SANA
TUNATARAJI USHIRIKIANO WAKO.
COMMENTS