MIJI 10 YA KALE ZAIDI DUNIANI

The Oldest Cities in the World - WorldAtlas

MIJI YA KALE ZAIDI DUNIANI AMBAYO BADO IPO HADI LEO

Nadhani utakubaliana nami kuwa hakuna anayejua uhakika wa umri wa dunia tangu kuwepo kwake ila ni  Mwenyezimungu tu.

Pamoja na hayo, Mwanadamu aliishi miaka mingi mbayo nayo pia hakuna anayejua umri halisi tangu enzi hizo.

Lakini katika kumbukumbu ambazo zimebahatika kuhifadhiwa zipo sehemu ambazo ni za zamani zaidi.

Leo nimekusogezea dondoo za miji ya kale zaidi ambayo ipo mpaka leo


FUATANA NAMI

Muandaaji wa makala hii ni mimi;-

Saidi R. Bunduki

Maoni yako, ushauri na rai yako ni muhimu kwetu, hivyo baada ya kusoma makala hii ni vema ukatuandikia maoni yako hapo chini katika sehemu ya COMMENTS.

 
1. JERUSALEM
Huu ni mji Mtakatifu na ni wa ki historia kwa dini kuu tatu ambazo ni Uislam, Ukristo na Uyahudi. Mji huu upo katika nchi ya ISRAEL na inasemekana kuwa ulikuwepo miaka zaidi ya elfu 4 iliyopita. 

Mji huu ndipo ulipo msikiti mtukufu wa MASJID AL AQSA
Guatemala moves its embassy to Jerusalem in Israel

 
2. VARANASI

Historia za ki hindu zinaonesha kuwa mji huu ulikwepo zaidi ya miaka 5000 iliyopita lakini baadhi ya tafiti zinaonesha kuwa ni miaka 3000.

Licha ya kuwa ni miongoni mwa miji mikongwe zaidi INDIA lakini kwa wahindu huu ni mji mtakatifu zaidi kuliko yote ulimwenguni na ni sehemu ambayo hufanya hija.


The Holy City of Varanasi - Luxury India Extension - Micato Safaris


3. LUOYANG

Katika bara la Ulaya Miji mingi ilijengwa zaidi ya miaka elfu nne iliyopita, lakini kwa upande wa Asia huu ni mji mkongwe zaidi ambao unapatikana katika nchi ya CHINA


4. RAYY

Mji huu unapatikana katika Nchi ya IRAN karibu na mji mkuu "Tehran"

Mji huu unasadikika kuwepo miaka zaidi ya elfu 6 tangu kuanzishwa kwake.

Ray, Iran - Wikiwand


6. SIDON

 Mji ambao ulikaliwa kwa zaidi ya miaka elfu 6 wa Sidon na pia ulikuwa ni mji muhimu kwa sababu ya kuwa na bandari kuu katika bahari ya Mediterranea. Mji huu unapatikana katika nchi ya LEBANON.

Sidon - Simple English Wikipedia, the free encyclopedia


6. ALEPPO

Utafiti unaonesha mji huu kuwepo zaidi ya miaka elfu 13 huko nyuma. Ni miongoni mwa makazi ya zamani zaidi ya binadamu hapa duniani. Mji huu unapatikana katika nchi ya SYRIA. 

Aleppo ni miongoni mwa miji yenye idadi kubwa ya watu, ingawa vita vya wenyewe kwa wenyewe viliathiri sana idadi na shughuli za kiuchumi kwa ujumla. 

Aleppo | Syria | Britannica


7. FAIYUM

Moja katika nchi za Afrika ambazo zina historia nyingi za kujifunza mambo mbali mbali ni nchi ya MISRI (Egypt). 

Moja kwa moja hapa tunakutana na mji huu wa Faiyum pembezoni mwa mto Nail. Mji huu unasadikika kuwepo miaka elfu 4 iliyopita. Kulingana na hali ya ukame watu wengi walihama mji huu na kupelekea mpaka sasa mji huu.


8. PLOVDIV

Mpaka kufikia leo, mji huu ni mji wa pili kwa ukubwa katika nchi ya BULGARIA. Hapo awali mji huu ulitawaliwa na wasunni, wagiriki na hatimaye warumi. Lakini pia ulitawaliwa na watomania kwa muda.

Mji huu ulikuwepo miaka 6000 iliyopita nchini humo.

3 minute Plovdiv - Video travel guide of Plovdiv - Visit My Bulgaria


9. ARGOS

Huu ni moja katika miji ambayo ilikuweko miaka mingi iliyopita katika bara la Ulaya. Mji huu unapatikana katika nchi ya GREECE (UGIRIKI)

File:Gr├Žkenlands ├Žldste teater i Argos(10.07.05).JPG - Wikimedia ...


10. DAMASCUS

Damaskas ni mji miongoni mwa miji mikongwe ulimwenguni, ulikwepo zaidi ya miaka elfu 11 iliyopita. Mji huu unapatikana katika nchi ya SYRIA. kwa sasa mji huu una wakazi zaidi ya milioni 2.5


Leo tunakomea hapa, Je? kuna mji wowote ambao hatujautaja? Tuandikie hapo chini katika sehemu ya COMMENTS

Usisahau kushea na mwenzio kupitia mitandao ya kijamii hapo chini.

Ahsante

*********************

COMMENTS

BLOGGER: 2


Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,29,Dini,99,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,6,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: MIJI 10 YA KALE ZAIDI DUNIANI
MIJI 10 YA KALE ZAIDI DUNIANI
https://srcnaut.com/cdn-cgi/image/f=auto,fit=crop,g=0.5x0.5,w=2000,h=1125,q=90,d=1/upload/a2/68/62/shutterstock-1026838369.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-A_Q4kWDrmGA/XwxK_jfoHlI/AAAAAAAAWI0/TWwP4lDFQSwvcEfJjsVSWqpds14FUYbUACLcBGAsYHQ/s72-w408-c-h176/luo.png
mrbunduki
https://www.mrbunduki.com/2020/04/miji-ya-kale-zaidi-duniani-iliyo-hai.html
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/2020/04/miji-ya-kale-zaidi-duniani-iliyo-hai.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content