Ubongo ukitunzwa vizuri ndipo huleta mafanikio mazuri katika mwili wa binadamu. Haya ni baadhi ya mambo yanayoweza kuathiri ubongo wako

Kuna muda tunahitaji kupumzika na kuupumzisha ubongo wetu, lakini wengi wetu huwa hatujui kuwa baadhi ya wakati tunaweza kupumzika na ubongo bado ukawa unafanya kazi.
Hii ni kutokana na mitindo yetu ya maisha ambayo huwa tunaishi, Hapa nakuletea tabia 7 ambazo unatakiwa kuziacha ili kutengeneza afya ya ubongo wako kuwa njema.
1. Kuacha kupata kifungua kinywa
Ziko sababu kadhaa ambazo huenda chakula cha asubuhi ama kifungua kinywa ni chakula muhmu sana katika mwili na kukiacha huweza kusababisha kushuka kwa kiwango cha sukari katika damu kitendo ambacho huiathiri sana akili na kuifanya ifanye kazi kupita kiasi na mara nyingine kufeli. Lakini pamoja na hayo yote, hali ya uchumi inaweza kuwa chanzo.
MIONGONI MWA SABABU NYINGINE NI;-
2. Kupitwa na usingizi (kutokulala)
3. Kula zaidi
4. Uvutaji wa sigara
5. Kupuuza kunywa maji
6. Ulaji wa sukari kupitiliza
7. Msongo wa mawazo.
COMMENTS