zote unaweza ukawa unajiuliza kuwa mrbunduki.com ni kitu gani?
Jibu hili hapa
Hili ni jukwaa la mtandao (blog) ambalo hasa huhusika na utoaji wa elimu na burudani katika njia tofauti kama hizi;- 1. Kufundisha / 2. Kuburudisha
Ø Kufundisha
Hapa
utajipatia elimu ya mambo mbali mbali ikiwemo Dini, Afya na Teknolojia.
Ø Kuburudisha
Katika
uwanja huu tutakuburudisha kwa makala tofauti zikiwemo za michezo, hadithi nzuri, utunzi wa
mashairi na tenzi mbali mbali zilizobeba uhalisia wa maisha ya kila siku.
Lakini
pia tutakusikitisha kidogo na kukupa mazingatio kwa VISA na MIKASA ya maisha
katika kipindi chetu cha Sitosahau ambacho watu husimulia matukio yao
walioyapitia katika maisha yao ya siku za nyuma.
- Hii ni sehemu ambayo hata wewe unaweza kusimulia kisa chako. Unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0623 123 344 nasi tutakupa utaratibu.
NINI CHA KUFANYA?
Fuata hatua hizi chache
a. Chukua simu, yako ama kompyuta yako
b. Ingia google ama browser yoyote ya
internet
d. Kisha utapelekwa moja kwa moja
katika BLOG YETU na hapo utakutana na yote hayo na endelea kufurahia.
e. Shuka chini kabisa utaona sehemu
imeandikwa follow by email.
f.
Weka
email yako kasha ‘submit’
Hapo
utaweza kujipatia post zetu kila siku ambayo itaruka hewani.
ASANTE SANA
MUNGU AKUBARIKI
COMMENTS