SEHEMU 5 ZA AJABU DUNIANI

Ukiachana na maajabu 7 ya dunia, haya ni maeneo ambayo yamegunduliwa na yatakushangaza

Dunia na maajabu yake 

Huenda umeshasikia mengi katika maajabu ya dunia, lakini usisikie haya. Leo nakudokeza baadhi ya sehemu tano ambazo zimeshangaza wengi katika ulimwengu huu.

'Nakukumbusha tu usisahau kuweka comment yako hapo chini kwa maoni, ushauri, mapendekezo n.k.  

 

1. GATES OF HELL

 Eneo hili linapatikana katika nchi ya URUSI (Rusia). Eneo hili ni kama shimo kubwa linalowaka moto ambao hauzimi. 

Inasemekana kuwa eneo hili liligundulika hapo zamani na inasemekana kuwa kulikuwa na GAS, lakini katika harakati za uchimbaji wa gas hiyo ndipo ukazuka moto huo na mpaka leo bado haujazima. Jina hili maana yake ni ‘Lango la kuzimu’


2. PINK LAKE HILLIER
      Eneo hili hupatikana nchini Australia, haya ni maji ya ziwa lenye rangi ya pink. Hii ni tofauti na tulivozoea kuyaona maji ya ziwa. Kwa kawaida maji ya ziwa huwa na rangi ya buluu japokuwa maji hayana rangi. Sasa katika ziwa hili rangi yake ni tofauti kwani hatujawahi kuona maji yakiakisi rangi ya pink.
      


3. VOLCANIC LIGHTNING  
      Kawaida ya volcano huwa ni hatari kulingana na mlipuko wake, lakini volcano hii ni hatari zaidi kutokana na mfumo wake.  volcano hii hutokana na radi pamoja na umeme.
      


4. REFLECTIVE SALT FLATS
     Eneo hili ni mfano wa kioo, ukijitazama chini unajiona, na ni eneo kubwa la kutosha. Lipo katika nchi ya Bolivia upande wa kusini magharibi karibu na eneo la Andes. Eneo hili lina takriban urefu wa zaidi ya kilomita 130
       5. SHIMMERING SHORES OF VAADHOO MALDIVES
     Hapa ni beach yenye maji yakawaida tu, ila ajabu yake ni kwamba  ukiyapiga ama yakipigwa na upepo yanakuwa na rangi kama ya shoti ya umeme. Hali kadhalika mawimbi yake nayo yanakuwa vivyo hivyo. Kisiwa cha Vaadhoo ni miongoni mwa visiwa vya Maldives.
      

      Nafikiri utakuwa umejifunza kitu katika makala hii, basi ni vema ukashea na mwingine naye aweze kujifunza na kujua machache katika mengi yaliyoko katika dunia yetu.

COMMENTS

BLOGGER: 4
  1. Gates of hell ilianza kuwaka toka 1971 mpaka hivi leo. Moto huu uliwashwa kwa makusudi na wataalamu wa Jiolojia (geology).

    Eneo hili lenye kina cha mita 30, lilikuwa likitoa gesi ya methane. Gesi hii ni hatari kwa maisha ya viumbe endapo ingeendelea kusambaa duniani.

    Ili kuizuia gesi hii isisambae wanasayansi wakaona njia pekee ni kuiwasha moto. Hivyo kila ikitoka inakutana na moto na inawaka. Nizaidi ya nusu karne sasa sasa moto unawaka na gesi inazidi kutoka.

    ReplyDelete


Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,28,Dini,98,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,6,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: SEHEMU 5 ZA AJABU DUNIANI
SEHEMU 5 ZA AJABU DUNIANI
Ukiachana na maajabu 7 ya dunia, haya ni maeneo ambayo yamegunduliwa na yatakushangaza
https://1.bp.blogspot.com/-kqG31VbZ-hQ/Xw1xlrIcd_I/AAAAAAAAWPw/mfneMm4MPuowiD9cD_jSMN8j1V8bWo8OgCLcBGAsYHQ/w360-h160/gate.png
https://1.bp.blogspot.com/-kqG31VbZ-hQ/Xw1xlrIcd_I/AAAAAAAAWPw/mfneMm4MPuowiD9cD_jSMN8j1V8bWo8OgCLcBGAsYHQ/s72-w360-c-h160/gate.png
mrbunduki
https://www.mrbunduki.com/2020/06/dunia-na-maajabu-yake-huendaumeshasikia.html
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/2020/06/dunia-na-maajabu-yake-huendaumeshasikia.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content