HOMA YA DENGUE NA DALILI ZAKE

Ukiachana na mbu ambao hueneza malaria, lakini pia wapo mbu ambao hueneza ugonjwa uitwao dengue

    Coronavirus overshadows another dangerous viral outbreak - Los ...
DENGUE HUSABABISHWA NA NINI

Ugonjwa huu husababishwa na virusi DENGUE na ni miongoni mwa homa zinazosababishwa na kuenezwa na MBU aina ya AEDES. Na ugonjwa huu una uhusiano  mkubwa na ugonjwa wa homa ya manjano

Dalili zake huweza kujitokeza kuanzia siku ya tatu mpaka kumi na nne tangu kupata maambukizi.

DALILI ZAKE

Miongoni mwa DALILI kubwa za ugonjwa huu ni pamoja na

1. homa kali

2. Maumivu ya kichwa

3. Kutapika

4. Maumivu ya misuli

5. Vipele katika ngozi


MATIBABU
Hakuna dawa maalum ya ugonjwa huu, ila kama utapata maambukizi basi unashauriwa kufanya yafuatayo;-

- Kupumzika
- Kunywa maji mengi

KINGA
- Njia iliyo bora zaidi ya kujikinga na ugonjwa huu ni kuzuia kuumwa na mbu kwa kutumia chandarua chenye dawa ama dawa nyingine za mbu hasa kama unaishi ama kusafiri maeneo ya kitropiki.

Punguza / ondoa kabisa masalia na maeneo yote ambayo mbu huzaliana

- Uonapo dalili za dengu basi mapema muone daktari.

COMMENTS


Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,29,Dini,99,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,6,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: HOMA YA DENGUE NA DALILI ZAKE
HOMA YA DENGUE NA DALILI ZAKE
Ukiachana na mbu ambao hueneza malaria, lakini pia wapo mbu ambao hueneza ugonjwa uitwao dengue
https://ca-times.brightspotcdn.com/dims4/default/faaf76f/2147483647/strip/true/crop/2048x1366+0+0/resize/840x560!/quality/90/?url=https%3A%2F%2Fcalifornia-times-brightspot.s3.amazonaws.com%2Fff%2F85%2Fd9880712bfeedd68e70fde100a2e%2Fla-fg-sri-lanka-newspaper-dengue-20140801-003
mrbunduki
https://www.mrbunduki.com/2020/06/fahamu-kuhusu-homa-ya-dengue-na-dalili.html
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/2020/06/fahamu-kuhusu-homa-ya-dengue-na-dalili.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content