FAIDA ZA KULA STRAWBERRY

Ni matunda ambayo huwa hayajulikani sana. Lakini nimekuwekea na picha hapo juu huenda umeshawahi kuyaona. (STRAWBERRIES)

MWANZO WA MADA👇👇👇👇

Kula matunda ni faida kubwa katika maisha yetu, na matunda yako mengi. Leo nakudokeza kidogo tu tunda moja linalojulikana kwa jina la 'strawberry' 

Kama utakuwa hulifahamu basi nimekuwekea picha hapo juu.

Tunda la Strawberry lina umuhimu na faida nyingi sana katika mwili wa binadamu. Miongoni mwao ni faida za kiafy kama vile;-

 • Kuimarisha mifupa
 • Husaidia nguvu za kiume na muamko wa kufanya mapenzi. Hii ni kwa kuwa zina madini ya zink basi husaidia katika mfumo wa uzazi wa mwanaume.
 • Husaidia kuponya majeraha kwa haraka
 • Hutunza ngozi ya mwili
 • Kupunguza madhara yatokanayo na presha ya kupanda na kushuka
 • Kwa wenye uzito mkubwa husaidia kupunguza uzito
 • Kuongeza kumbukumbu
 • Huzuia kuzaliana kwa bakteria na virus mwilini

Lakini pia Strawbery ina matumizi tofauti ikiwemo
 • Kuliwa kama matunda mengine
 • Kutia ladha katika vyakula mbali mbali
 • Kutengeneza marashi
 • Kutia nakshi katika baadhi ya vipodozi

Unaweza kushea elimu hii na mwenzako.

COMMENTS


Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,28,Dini,98,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,6,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: FAIDA ZA KULA STRAWBERRY
FAIDA ZA KULA STRAWBERRY
Ni matunda ambayo huwa hayajulikani sana. Lakini nimekuwekea na picha hapo juu huenda umeshawahi kuyaona. (STRAWBERRIES)
https://1.bp.blogspot.com/-pIvROTeTdCg/Xww-mhiif-I/AAAAAAAAWH0/G3MAHFFTNzcf7j17y1h0zlyrW7o7ISISgCLcBGAsYHQ/w500-h281/STRAW.png
https://1.bp.blogspot.com/-pIvROTeTdCg/Xww-mhiif-I/AAAAAAAAWH0/G3MAHFFTNzcf7j17y1h0zlyrW7o7ISISgCLcBGAsYHQ/s72-w500-c-h281/STRAW.png
mrbunduki
https://www.mrbunduki.com/2020/07/faida-kula-strawberry.html
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/2020/07/faida-kula-strawberry.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content