UFAHAMU UGONJWA WA CLINOMANIA (KUPENDA KULALA SANA)

Kama sio wewe basi ni rafiki yako. Hua anapenda saaana kulala kila wakati. Basi anasumbuliwa na ugonjwa huu wa CLINOMANIA

👇_______________👇
Kawaida ya mwanadamu ama watu wengi huwa wanapenda na wanafurahia kulala. Lakini upo ugonjwa wa kupenda kulala zaidi ambao kitaalamu hujulikana kama CLINOMANIA.

*************************
  • Mtu mwenye ugonjwa huu, hupenda kulala bila kikomo na huchukia kuamka. Huyu hupenda kulala kuliko  kawaida.

Hizi ni miongoni mwa dalili zake chache ambazo huashiria ugonjwa huo.

1. Kutokuchoka kulala. 
Yaani mda wowote iwe mchana, asbuhi, usiku wewe unajiskia kulala tu.

2. Kupenda kuwa kitandani mda wote
Unapenda kufanya mambo yako yote ukiwa kitandani ili uwe katibu na usingizi. Vitu kama kula, kunywa, kusoma hupenda kuvifanya ukiwa kitandani

3. Kuijiskia furaha pale unapopata fursa ya kurudi kitandani

4. Starehe yako kubwa zaidi ya zote kuwa ni kulala

Tiba yake ni kupata msaada kwa wana saikolojia na wataalamu wa mambo hayo.

ANGALIZO
Pindi uonapo dalili hizo ni vema kuwaona wataalamu wa afya.

COMMENTS


Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,28,Dini,98,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,6,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: UFAHAMU UGONJWA WA CLINOMANIA (KUPENDA KULALA SANA)
UFAHAMU UGONJWA WA CLINOMANIA (KUPENDA KULALA SANA)
Kama sio wewe basi ni rafiki yako. Hua anapenda saaana kulala kila wakati. Basi anasumbuliwa na ugonjwa huu wa CLINOMANIA
https://1.bp.blogspot.com/-57r3mvBdRyQ/Xxkx_bdUx0I/AAAAAAAAWiI/9gcPdmk2RUsJ_SPYusmDobUglfEXZkofACLcBGAsYHQ/s320/p06pr3yj.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-57r3mvBdRyQ/Xxkx_bdUx0I/AAAAAAAAWiI/9gcPdmk2RUsJ_SPYusmDobUglfEXZkofACLcBGAsYHQ/s72-c/p06pr3yj.jpg
mrbunduki
https://www.mrbunduki.com/2020/07/ufahamu-ugonjwa-wa-clinomania-kupenda.html
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/2020/07/ufahamu-ugonjwa-wa-clinomania-kupenda.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content