Mtandao wako pendwa kabisa wa mrbunduki.com unakuandalia kipindi maridhawa kabisa ambacho kitakuwa kinaruka moja kwa moja katika channel yetu ya youtube ya 'Bunduki TV'
Kipindi kinachojulikana kwa jina la "MAISHA SAFARI"
Karibu ujiunge na watu mbali mbali ambao watakuwa wanasimulia mikasa yao ambayo wamepitia katika maisha yao ya siku za nyuma.
COMMENTS