WIZI WA MACHUNGWA - 2

Siku moja katika pirika za maisha

Basi bwana;-

Jamaa alikuwa ameshika kisu mkononi akaanza kutulisha machungwa, yeye anamenya na sisi tunakula zamu kwa zamu. Akimenya la kwanza nakula mimi, akimenya la pili anakula mwenzangu.

Utaratibu ukawa huo, na jamaa huwezi kuamini bwana hacheki na mtu.

  • Kama umepitwa na sehemu ya kwanza ya kisa hiki basi bonyeza HAPA

Nilikula machungwa kama matatu au manne hivi, nikaona nyokoooo hapa nitakufa bure, ngoja nibuni uongno wowote ili niweze kuepukana na kadhia hii. Kiukweli kilichoniponza mimi ni tamaa tu ya kumfuata yule dogo katika sakata lake la kuvamia shamba la watu.

Nikamwambia yule jamaa braza e sikiliza, unajua mimi ni mgeni hapa na mwenyeji wangu ni huyu bwana,  na yeye ndiye ambaye amenishawishi tule haya machungwa sasa mimi sina kosa blaza.

Bradha akasema usinitanie, hapa mtakula machungwa mpaka yaishe yote haya. Nyie si mnajifanya wezi wa machungwa ee. Inamaana we hujui kama hili shamba sio lenu? pumbav kabisa

Niliendelea kumsisitiza braza kuwa mimi sio mwizi na mwenzangu ndiye mwizi. Lakini hatimaye alikubali na kuniachia. Aisee nilikimbia kama gari ya mashindano nikimuacha mwenzangu akiendelea kupiga orange moja baada ya nyingine.😆

Nilipofika shamba kwa mjomba nikaulizwa bwana we hujakutana ya Yahaya huko?? Maana tumemtuma na ni muda mrefu sasa tunasubiri unga.

Itaendelea.............

 

***********

Je una kisa unataka kutuhadithia kupitia blog yetu?

Wote mnakaribishwa


COMMENTS


Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,28,Dini,98,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,6,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: WIZI WA MACHUNGWA - 2
WIZI WA MACHUNGWA - 2
https://1.bp.blogspot.com/-CuLG5X7KnfY/Xw7BscNCZTI/AAAAAAAAWRA/WuYZ3enVo6opOtPiCDkcSqMF_sEY8rqiACLcBGAsYHQ/w395-h153/machungwa.png
https://1.bp.blogspot.com/-CuLG5X7KnfY/Xw7BscNCZTI/AAAAAAAAWRA/WuYZ3enVo6opOtPiCDkcSqMF_sEY8rqiACLcBGAsYHQ/s72-w395-c-h153/machungwa.png
mrbunduki
https://www.mrbunduki.com/2020/07/wizi-wa-machungwa-2.html
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/2020/07/wizi-wa-machungwa-2.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content