FAHAMU KUHUSU SHINIKIZO LA DAMU (BLOOD PRESSURE)

Bila shaka Mara kadhaa ushawahi kusikia kuwa mtu fulani amekufa kwa shinikizo la damu. Hapa tumeelezea kwa uchache

Many adults should now take statins, task force says - Scope
SHINIKIZO LA DAMU NININI?

Hii nii ile hali ya kuwa na mgandamizo wa damu mkubwa kuliko kawaida kwenye mishipa.

SABABU ZA KUPATA SHINIKIZO LA DAMU
  • Ulaji wa vyakula vyenye chumvi nyingi
  • Kula vyakula vyenye mafuta mengi
  • Kutofanya mazoezi
  • Uzito uliozidi kupita kiasi
  • Uvutaji wa sigara
  • Kisukari
  • Msongo wa mawazo
DALILI ZAKE
 - Mabadiliko kwenye mapigo ya moyo
 - Kujisikia kiu kila mara
 - Kizunguzungu
 - Kupoteza fahamu
 - Mapigo ya moyo kwenda mbio
 - Uchovu mara kwa mara

MADHARA YANAYOWEZA KUSABABISHWA NA SHINIKIZO LA DAMU

  - Maradhi ya moyo
  - Maradhi ya figo
  - Kisukari

TIBA YA SHINIKIZO LA DAMU

- Punguza unene kama utakuwa ni mnene kupitiliza
- Punguza matumizi ya chumvi
   Baadhi ya vyakula ambavyo unashauriwa kuviacha ni pamoja na chipsi hasa         zenye tomato sos, chill sos n.k
- Fanya mazoezi. Hasa mazoezi ya kutembea, kukimbia na kuogelea
- Kula vyakula vyenye madini ya calsium kama vile limau, ndizi, viazi, na         machungwa
- Kula vyakula vyenye kamba kamba kwani huondoa lehemu. Vyakula hivyo ni     kama vile epo, ndizi,mihogo n.k
- Kunywa maji asubuhi kabla ya kufungua kinywa. Hii itasaidia kuifanya damu yako kuwa nzito.

Asante kwa kuwa nasi

COMMENTS


Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,29,Dini,99,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,6,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: FAHAMU KUHUSU SHINIKIZO LA DAMU (BLOOD PRESSURE)
FAHAMU KUHUSU SHINIKIZO LA DAMU (BLOOD PRESSURE)
Bila shaka Mara kadhaa ushawahi kusikia kuwa mtu fulani amekufa kwa shinikizo la damu. Hapa tumeelezea kwa uchache
https://scopeblog.stanford.edu/wp-content/uploads/2016/11/heart-rate-ekg-ecg-heart-beat.jpg
mrbunduki
https://www.mrbunduki.com/2020/08/fahamu-kuhusu-shinikizo-la-damu-blood.html
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/2020/08/fahamu-kuhusu-shinikizo-la-damu-blood.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content