Papai ni moja ya matunda yenye faida kubwa katika mwili wa binadamu, lakini leo tutazungumzia kuhusiana na majani yake jinsi yalivyo muhimu na ya ajabu katika kutibu baadhi ya maradhi.
1. Jeraha / Kidonda
Chukua majani ya mpapai, yatwange hadi kulainika. Kisha paka katika sehemu yenye kidonda au jeraha na uyaache hapo kwa muda wa saa moja. Kumbuka kuweka kidonda katika hali ya usafi.
2. Shinikizo la damu (Blood pressure)
Chemsha maji ya moto, kisha yaipue. Chukua majani ya mpapai na uyaweke katika maji hayo yamoto. Maji hayo yakishapoa utayatoa majani yako kisha utakunywa maji yale.
Itaendelea........
COMMENTS