Mohammed Shaban Sindi ni kijana anayeishi katika Kijiji cha Mkalamo. Leo kamera za Mtandao wa mrbunduki.com zimekumbana naye akitueleza hi...
Mohammed Shaban Sindi ni kijana anayeishi katika Kijiji cha Mkalamo. Leo kamera za Mtandao wa mrbunduki.com zimekumbana naye akitueleza historia yake ya kukumbwa na mashetani ambayo yalimsumbua sana.
Anasema;-
- JINI ALINIONESHA TV ANGANI
- ALITOA MENO KAMA ZOMBI
- WENZANGU HAWAMUONI
- ALINIPIGA KOFI NA NIKAANGUKA CHINI.
Kipindi ni MAISHA SAFARI
Hapa chini nimekuwekea full video.
Lakini pia kama unataka kuitazama moja kwa moja kutoka YOUTUBE basi bofya HAPA
COMMENTS