DAWA 6 ZA ASILI ZA KUTIBU MAUMIVU YA JINO

Ni vema kujua matibabu kabla hujaumwa. Jino ni miongoni mwa magonjwa yanayowasumbua wengi. Njia hizi zitakusaidia kujitibu hata ukiwa nyumbani...


  Maumivu ya jino yasikie tu kwa mwenzako, usiombe yakukute. Lakini kama hayajakukuta ni vema ukasoma somo hili ili siku moja unaweza kumsaidia mtu mwingine.

Hapa chini ni tiba 6 za asili ambazo ukichagua moja na kuifuata vizuri basi humaliza kabisa maumivu ya jino / meno yako.

Soma hapa kujua

SABABU ZA UGONJWA WA MENO1. ALOEVERA (MSHUBIRI)

Chukua shubiri safi, katakata kisha kamua utomvu / maji yake na uweke kwenye jino linalouma. Fanya hivyo kutwa mara mbili (asubuhi na jioni)


2. MAJI YA UVUGUVUGU NA CHUMVI

Inaweza kuwa ni fizi au jino, chukua kikombe cha maji ya uvuguvugu weka nusu kijiko cha chumvi. Tumia mchanganyiko huo kupigia mswaki kutwa mara mbili (asubuhi na jioni)


3. PILI PILI NA CHUMVI

Pili pili na chumvi vyote kwa pamoja vina uwezo wa kudhibiti bakteria hivyo mchanganyiko wake waweza kuwa dawa nzuri zaidi. Chukua pili pili manga isage kisha changanya na chumvi ya mawe, weka na maji kupata uji mzito kisha utaweka kwenye jino linalouma kila siku kwa siku kadhaa na maumivu yatakwisha


4. KITUNGUU SWAUMU

Kitunguu swaumu ni  miongoni mwa anti biotic za asili tofauti na antibiotic nyingine. Chukua punje mbili za kitunguu swaumu kisha kisage, unaweza kuchanganya na chumvi ya mawe kidogo kisha weka sehemu yenye jino linalouma.


5. MAJANI YA MPERA

Unaweza kutafuna majani kadhaa kila siku, au chemsha majani hayo kisha weka na chumvi kidogo na uwe unapigia mswaki kwa siku mara mbili.


6. ASALI NA MDALASINI

Asali vijiko vitatu, mdalasini kijiko kimoja. Changanya kisha uwe unaweka sehemu yenye jino linalouma kutwa mara tatu

Maumivu yanapoendelea ni vema kumuona mtaalamu wa afya kwa ushauri zaidi.


ANGALIZO!!

Kwakuwa ugonjwa wa meno husababishwa na bakteria ambao wanatokana na mabaki ya vyakula mbali mbali tunavyokula, hivyo ni vema kuzingatia haya yafuatayo;-

  • Punguza / acha ulaji wa vyakula na vinywaji vyenye sukari nyingi za viwandani
  • Simamia usafi wa kinywa chako vizuri kwa kupiga mswaki walau mara mbili kwa siku.
Tunajisika faraja kwa kuwa nasi hapa

COMMENTS


Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,29,Dini,99,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,6,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: DAWA 6 ZA ASILI ZA KUTIBU MAUMIVU YA JINO
DAWA 6 ZA ASILI ZA KUTIBU MAUMIVU YA JINO
Ni vema kujua matibabu kabla hujaumwa. Jino ni miongoni mwa magonjwa yanayowasumbua wengi. Njia hizi zitakusaidia kujitibu hata ukiwa nyumbani...
https://1.bp.blogspot.com/-BJk5y2WdvWM/X89QdJ3mu3I/AAAAAAAAbac/7f4EpXjaS3Iqkx3mTA59BWjEh9GxIhMkACLcBGAsYHQ/s320/image%257E1.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-BJk5y2WdvWM/X89QdJ3mu3I/AAAAAAAAbac/7f4EpXjaS3Iqkx3mTA59BWjEh9GxIhMkACLcBGAsYHQ/s72-c/image%257E1.jpg
mrbunduki
https://www.mrbunduki.com/2020/10/dawa-6-za-asili-za-kutibu-maumivu-ya.html
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/2020/10/dawa-6-za-asili-za-kutibu-maumivu-ya.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content