ANZA LEO KULA TENDE UFAIDIKE NA MAMBO HAYA 7 MILELE

Bila shaka umeshawahi kusikia kuhusiana na faida za kula tende. Basi hapa nakukumbusha tu ama kukuongezea elimu na sio kukuchosha.

Hili ni tunda ambalo asili yake ni nchi za kiarabu ambako kuna ukame na jangwa. Mmea wa mtende hufanana sana na mmea wa mnazi au  mchikichi. (Tazama picha hapo chini)

Shamba la miti ya mitende

Tende ni tunda maarufu sana hasa kwa waislamu katika kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani. Hii ni kutokana na ubora na faida zake ambazo hupatikana. Lakini pia ni sunna kuanza chakula wakati wa kufuturu (kufungua) kuanza na tunda hilo.

Kama ndivo, basi unatakiwa ule tunda hili  mara kwa mara  ili kupata faida ambazo nimeziorodhesha hapa chini.

1. Huongeza nguvu

Tende huongeza nguvu au nishati katika mwili wa binadamu kwa kuliwa kila siku walau tende kuanzia 3. Lakini pia unaweza kunywa juisi yake ni nzuri katika kuongeza nguvu.                

2. Huzuia meno kuoza

Mbali na kuzuia meno kuoza na  kuyaimarisha lakini pia tende huimarisha mifupa kwa ujumla. Hii ni kutokana kwamba tende zina madini ya manganese, copper na kalshiam kwa wingi         

3. Huongeza sukari mwilini

4. Hupunguza kasi ya kupata kiharusi

5. Huongeza nguvu za kiume

Unaweza kuiloweka tende kwenye maziwa ya mbuzi kisha asubuhi unaweza kuchanganya na maziwa hayo na asali na mambo yatakwenda vizuri kabisa.

6. Huimarisha mfumo wa mmengenyo

Kama una matatizo ya kupata choo ama kupata choo kigumu basi unashauriwa kula tende mara kwa mara.
    
7. Humsaidia mama mjamzito
Kwa mama mjamzito anashauriwa kula tende kila siku hasa mimba inapofika miezi 8. Ale tende 
 
8 kila siku na atajifungua salama kabisa bila opereshen

Anza leo utaratibu wa kula tende na uanze kupata faida hizo mwilini mwako.

COMMENTS


Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,29,Dini,99,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,6,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: ANZA LEO KULA TENDE UFAIDIKE NA MAMBO HAYA 7 MILELE
ANZA LEO KULA TENDE UFAIDIKE NA MAMBO HAYA 7 MILELE
https://1.bp.blogspot.com/-kv20lRuIddQ/YA50M7QsYzI/AAAAAAAAb1w/y0D6XxTa6I4KF3Uw7QDRMwFYz-V1SICYwCLcBGAsYHQ/s0/Incredible-Benefits-of-Dates-Khajoor-for-Health-and-Hair.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-kv20lRuIddQ/YA50M7QsYzI/AAAAAAAAb1w/y0D6XxTa6I4KF3Uw7QDRMwFYz-V1SICYwCLcBGAsYHQ/s72-c/Incredible-Benefits-of-Dates-Khajoor-for-Health-and-Hair.jpg
mrbunduki
https://www.mrbunduki.com/2020/12/anza-leo-kula-tende-ufaidike-na-mambo.html
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/2020/12/anza-leo-kula-tende-ufaidike-na-mambo.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content