Maisha ni safari ndefu yenye milima na mabonde
_____________________
Kila mtu anajua kuwa maisha ni safari, tena ni safari ndefu sana na yenye misukosuko miiingi. Kila mtu kuna ambayo ni mabaya na yenye kusisimua ameyapitia katika mtiririko wa maisha yake.
Leo ni zamu ya bwana SAIDI BUNDUKI na stori yake. Karibu kuitazama video yenyewe hapa chini.
Kila mtu anaweza kushea simulizi yake katika mtandao wetu wa mrbunduki.com na Bunduki TV
Kwa mawasiliano zaidi bonyeza HAPA
Lakini pia unaweza kutufuata katika mitandao yetu ya kijamii iliyopo hapa chini.
COMMENTS