Ni kijana ambaye nimeichagua kazi hii ya blogging miaka kadhaa iliyopita. Lakini kwa mwaka 2020 ndiyo mwaka ambao nimeamua kuifanya serious.
Mwaka huu umekuwa wa mafanikio kwangu kwa kujaaliwa kufanya kitu ambacho napenda (blogging).
"Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu kwa Mwenyezimungu kwa kuniwezesha kufikia hatua hii"
Lakini pia napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa baadhi ya watu ambao kwa namna moja ama nyingine waliniwezesha kwa hali na mali katika kufanikisha jambo langu.
Miongoni mwao ni ;-
1. RAJABU ATHUMANI MAHEDE
Huyu ni kijana ambaye alinisaidia mambo mengi ikiwemo taaluma ya blogging, kunipa moyo na pia kuweka baadhi ya machapisho.
Rajabu Athumani ni mmiliki na kiongozi wa mtandao na website inayotoa elimu mbali mbali ya BONGOCLASS.
TANBIHI
Maeneo ambao yamewekwa rangi ya kijani ni link. Hivyo unaweza kubonyeza na kukupeleka mahala ambapo inahusu
2. ALFA KAMWELA
Huyu ni mwongozaji wa video (Director) kutoka katika Kampuni yake ya Mtu makini. Lakini pia ni Graphics Designer ambaye anafanya kazi zake Mjini Mbeya.
Jina lake maarufu hujulikana kama meckpro. Huyu ndiye mpiga picha ambaye ameshoot video zote ambazo tuliziweka katika mtandao wetu wa Bunduki TV
3. OMARI SAIDI
Almaarufu kama Mwarabu koko. Huyu alisimama kama mdhamini katika safari mbali mbali za kwenda kutafuta visa na mikasa katika sehemu za mbali. Miongoni mwa Sehemu ambazo tulikuwa naye bwana huyu ni IGANZO na TUKUYU
4. MOHAMED SHABAN SINDI (BABU ZIMWI)
Ni miongoni mwa vijana ambao huthamini na kupenda sana ninachokifanya. Ni miongoni mwa vijana ambao nimewavutia kwa ninachokufanya na wako pamoja sana nami.
Sambamba na hao, pia wako waasisi ambao tulikuwa nao ambao wengi wao hawajapenda kutajwa majina yao.
5. WEWE
Shukrani za dhati zikuendee wewe msomaji wangu ambaye ulikubali kupoteza muda wako na kuamua kusoma makala zetu na kutazama video zetu.
***************
Zifuatazo ni post zote ambazo tulizichapisha mwaka 2020. Tumezipanga kwa mpangilio kuanzia ya kwanza (January) mpaka ya mwisho (December)
Unaweza kusoma post yoyote kwa kubonyeza kwenye kichwa cha habari husika.
Machapisho yetu yapo katika mada tofauti tofauti kama vile Afya, Teknolojia, Mashairi, Mikasa, Safari, Dini pamoja na Burudani
1. JANUARY
5. Sababu 8 Kwanini Blog nyingi hufa?
7. Galaxy computers (Mahojiano maalum)
8. Surat Aal imran (Saud Shuraim)
9. Surat Annisai (Idris Abkar)
2. FEBRUARY
13. Mambo 13 usiyoyafahamu kuhusu corona
14. Sitosahau (Coco bearch - Dar)
16. Njia za kuwa mwandishi bora
3. MARCH
18. Surat Al an aam (Salaah Bukhatir)
19. Kwanini dua zetu hazijibiwi?
21. Vyakula vya vitamin na faida zake
23. Sanaa za mapigano (martrial arts) hatari zaidi duniani
25. Njia 6 za kumuepuka shetani
27. Kwanini zinaa huleta ufukara?
4. APRIL
30. Magonjwa 14 ya milipuko kuwahi kutokea duniani
31. Samaki 8 wakubwa zaidi Duniani
32. Umeniacha na nani (Shairi)
36. Taharuki ya Dunia (shairi)
5. MAY
37. Miji 10 hatari zaidi duniani
37. Ziara yangu ya bongo (Shairi)
38. Ufahamu ugonjwa wa kisonono (Gonorhea)
39. Tabia mbaya 7 zinazo athiri ubongo
41. Sababu 5 kwanini baadhi ya mimba ni kubwa?
43. Tambua mabadiliko 10 ya rangi za mkojo
6. JUNE
47. Dalili za ugonjwa wa dengue
48. Baba rudi univike (Shairi)
49. Ugonjwa wa meno sababu na dalili zake
50. Faida 20 za kufanya mazoezi
51. Michezo maarufu ya Google Doodles
52. Nani rafiki wa kweli? (Shairi)
7. JULY
58. Utambulisho wa kipindi kipya
59. Miji ya kale zaidi duniani
60. Bibi aliyefiwa na watoto wote 9 (Sitosahau)
62. Bibi aliyefiwa na watoto wote 9 - (2)
63. Ufahamu ugonjwa wa Clinomania
64. Sapraiz ya kifo - Maandishi (1)
65. Sapraiz ya kifo - Maandishi (2)
67. Sapraiz ya kifo - Maandishi (3)
8. AUGUST
69. Tiba ya tatizo la mmeng'enyo wa chakula
71. Ugonjwa wa shinikizo la damu
72. Mbinu za kuandika makala Bora - 1
73. Zifahamu dawa 5 hatari kwa binadamu
74. Tiba rahisi za maumivu ya viungo
76. Likizo yangu (Mbeya - Tanga)
78. Maajabu ya majani ya mpapai katika tiba
9. SEPTEMBER
81. Maajabu 20 ya tunda la stafeli
82. Simulizi ya Mohammed Sindi - 1
83. Simulizi ya Mohammed Sindi - 2
84. Madhara ya kukaa chini kwa muda mrefu
85. Faida za kula maji ya yenye ndimu
86. Maisha ya dhiki kwa mwenye kumsahau Muumba wake
87. Majina 99 ya Mwenyezimungu
88. Maisha ya dhiki kwa mwenye kumsahau Muumba wake - 2
89. Njia 7 rahisi za kujitibu kipandauso
90. Ugonjwa wa kifua kikuu. Chanzo, dalili na tiba
91. Simulizi ya Mohammed Sindi - 3
92. Madaraja marefu zaidi Duniani
10. OCTOBER
93. Maajabu ya samaki nyangumi
94. Mfahamu aliyetunga wimbo wa Happy Birthday
95. Mbinu 5 zitakazokufanya unywe maji mengi zaidi
96. Njia 8 za kuondoa sumu mwilini
97. Makala maalum kuhusiana na radi
99. Dawa 6 za asili za kutibu maumivu ya jino
100. Nimerudi ulingoni (Shairi)
11. NOVEMBER
101. Faida 10 za swala za usiku
102. Nchi 10 zenye idadi kubwa ya watu duniani
103. Madhara ya kukopi makala kutoka blog nyingine
104. Fanya haya kama umekosa cha kuandika kwenye blog yako
105. Mambo 10 ya kushangaza kuhusu Kangaroo
107. Mambo 20 ya kushangaza kuhusu usafiri wa ndege
108. Yafanywayo na rubani awapo safarini
109. Mambo 8 Usiyoyafahamu kuhusu Helicopter
110. Tiba ya kusahau mara kwa mara
12. DECEMBER
111. Mshamba wa facebook (Shairi)
112. Mazoezi yanayoongeza nguvu za kiume
113. Mambo 15 ya kushangaza kuhusu nchi y Ugiriki
117. Mazoezi 6 yanayoongeza nguvu za kiume
118. Mambo ya kufanya kabla hujaingia mwaka 2021
121. Aina 5 ya PASSWORD ambazo ni rahisi kudukuliwa
* Unaweza kutwambia kuwa ni mada gani uliipenda zaidi katika hizo hapo juu?
* Ungependa tuandike kuhusu nini hasa katika mwaka huu wa 2021?
* Maoni yako ni muhimu na yatapewa kipau mbele. Tuandikie hapo chini sehemu ya COMMENTS.
ASANTE kwa KUENDELEA kuwa nasi. Tunakutakia heri ya mwaka mpya 2021 na tunaomba uzidi kuwa nasi.
*******************
COMMENTS