TIBA 3 ZA MATATIZO YA MIWASHO SEHEMU ZA SIRI

Miwasho sehemu za siri huwakumba watu wa jinsia zote. Hapa ni njia 3 zitakazo kusaidia kutibu tatizo hilo


Kwa matatizo ya muwasho sehemu za siri au kutokwa na maji ukeni (sehemu za siri kwa mwanamke) tumia tiba hizi;-


1. KOKWA LA EMBE

Chukua kokwa za embe kisha zipasue  na uchukue kiini chake cha ndani kama inavoonekana kwenye picha hapo juu.

Chukua viini hivyo kisha uvisage na uchanganye na maji safi kisha kunywa mchanganyiko huo mara 2 kwa siku kwa muda wa wiki moja mpaka mbili na kwa uwezo wa Mwenyezimungu utapona tatizo hilo.

     


2. MAJANI YA MPERA

Chukua majani ya mpera kiasi cha robo kilo, yaweke katika maji yenye ujazo wa lita mbili. Chemsha mchanganyiko huo kwa muda usiopungua dakika 15.

Osha uke wako  mara 3 kwa siku kwa muda wa wiki mbili na tatizo litakwisha Ishaallaah.


3. MWAROBAINI

Chukua majani ya mwarobaini kisha ufanye kama tulivoelekeza katika matumizi ya majani ya mpera hapo juu. Kwani matayarisho yake na matumizi yake ni sawa.

Asante kwa kuwa nasi

COMMENTS

BLOGGER: 1


Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,28,Dini,98,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,6,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: TIBA 3 ZA MATATIZO YA MIWASHO SEHEMU ZA SIRI
TIBA 3 ZA MATATIZO YA MIWASHO SEHEMU ZA SIRI
Miwasho sehemu za siri huwakumba watu wa jinsia zote. Hapa ni njia 3 zitakazo kusaidia kutibu tatizo hilo
https://1.bp.blogspot.com/-OvMi1X9dqGc/YAKuHs8htjI/AAAAAAAAbtA/baJz5xv9qOUYpf9b4uAG4jTMNcxDQMukQCLcBGAsYHQ/s0/ooo.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-OvMi1X9dqGc/YAKuHs8htjI/AAAAAAAAbtA/baJz5xv9qOUYpf9b4uAG4jTMNcxDQMukQCLcBGAsYHQ/s72-c/ooo.jpg
mrbunduki
https://www.mrbunduki.com/2021/01/tiba-3-za-matatizo-ya-miwasho-sehemu-za.html
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/2021/01/tiba-3-za-matatizo-ya-miwasho-sehemu-za.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content