Unasumbuliwa na chunusi? Hii ni dawa nyepesi,ya asili, salama na ya uhakika
Tumia kitunguu maji
Chukua kitunguu maji kisha kisage, kikande katika unga wa ngano. Changanya na yai pamoja na mafuta ya ufuta au alizeti.
Paka usoni walau kwa siku moja mara mbili. Sambamba na hilo lakini pia unaweza kutafuta na kitunguu maji wakati huo ukiwa unapaka.
Nyongeza
Kitunguu maji pia ni tiba ya magonjwa mengi ikiwemo kisukari na shinikizo la damu ikiwa utatafuna mara kwa mara inaweza kupunguza athari za kupata magonjwa hapa.
COMMENTS