Amesema Mjumbe wa Mwenyezimungu rehma na amani zimshukie juu yake "Pindi utakapotaka kutaja aibu ya mwenzako, basi kumbuka kwanza aib...
Amesema Mjumbe wa Mwenyezimungu rehma na amani zimshukie juu yake
"Pindi utakapotaka kutaja aibu ya mwenzako, basi kumbuka kwanza aibu yako" Hadithi hii imepokewa na imam....
Maelezo
Hakuna kitu kibaya kama kumfichulia ndugu yako muumini kwa mambo maovu na ya aibu.
Kukumbuka maovu na machafu yako kunaweza kuwa ni sababu ya kuacha kutaja mabaya ya mwenzako. Kwani hakuna asiye na maovu na pia huenda yako ni mabaya zaidi.
Mungu ndiye mjuzi zaidi..
COMMENTS