Amesema Mjumbe wa Mwenyezimungu Rehma na amani zimshukie juu yake "Atakapopiga chafya mmoja wenu basi na aseme ALHAMDU LILLAAHI RABBIL...
Amesema Mjumbe wa Mwenyezimungu Rehma na amani zimshukie juu yake
"Atakapopiga chafya mmoja wenu basi na aseme ALHAMDU LILLAAHI RABBIL AALAMIINA, Kisha mwenzake aliye karibu atamwambia aliyepiga chafya "YARHAMUKA LLAAH
Baada ya hapo aliyepiga chafya atamaliza kwa kusema "YAHDIKUMU LLAAHU WAYUSWLIHU BAALAKUM" (Hadithi hii imepokelewa na imam Abu Daud)
Zifahamu Adabu za kupiga chafya
COMMENTS