HADITHI YA LEO (NAMNA YA KUPIGA MIAYO)

Kidogo tulichonacho katika mafundisho ya Mtume tunashea nawewe ndugu yetu Muislamu.


Amesema mtume Wa Mwenyezimungu Rehma na amani zimshukie juu yake.

"Atakapopiga miayo mmoja wenu basi na aweke kiganja chake katika mdomo wake  na wala asipige yowe. Kwani hakika shetani humcheka mtu afanyaye hivyo. (anayepiga miayo huku akipiga kelele / mdomo wazi)"


Maelezo ya hadithi hii

Kila kitu kimewekewa adabu yake katika uislamu. Miongoni mwake ni kupihga miayo.

Funika kinywa chako kwa kiganja au hata nguo, na huu ndio ustaarabu hata katika jamii yetu iliyotuzunguka.

Sheitwani ni kiumbe ambaye amelaaniwa na kuwekwa mbali na rehma za Mwenyezimungu, fikiria kiumbe kama huyu akucheke kwa ujinga? je wewe utakuwa mjinga kiasi gani?

Tuyashike mafundosho ya Mtume Muhammad.

COMMENTS


Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,29,Dini,99,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,6,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: HADITHI YA LEO (NAMNA YA KUPIGA MIAYO)
HADITHI YA LEO (NAMNA YA KUPIGA MIAYO)
Kidogo tulichonacho katika mafundisho ya Mtume tunashea nawewe ndugu yetu Muislamu.
https://1.bp.blogspot.com/-ldmEW7RIrk0/YCQZ4_QXsBI/AAAAAAAAcqo/ewesXvoPJfcvHJy9cKF7LfEF0wKlG-fkACLcBGAsYHQ/s0/26af9c_708bc99cb439473bb1e682c9cb9c9dd8_mv2.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-ldmEW7RIrk0/YCQZ4_QXsBI/AAAAAAAAcqo/ewesXvoPJfcvHJy9cKF7LfEF0wKlG-fkACLcBGAsYHQ/s72-c/26af9c_708bc99cb439473bb1e682c9cb9c9dd8_mv2.jpg
mrbunduki
https://www.mrbunduki.com/2021/02/hadithi-ya-leo-namna-ya-kupiga-miayo.html
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/2021/02/hadithi-ya-leo-namna-ya-kupiga-miayo.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content