Kidogo tulichonacho katika elimu tunashea na wenzetu
Amesema Mtume wa Mwenyezimungu Rehma na amani zimshukie juu yake
"Wapendelee watu kupata kile ambacho nafsi yako inapenda" (Hadithi hii imepokewa na Imam Bukhariy)
Maelezo ya Hadithi
Hadithi hii inatuhimiza katika kupendana na kutakiana mambo mema baina yetu. Kama kitu hukipendi usimuombee wala kumfanyia mwingine.
Allah ndiye mjuzi zaidi.
COMMENTS