Msomaji wangu mpendwa
Huenda umewahi kuitembelea blog yetu mara kadhaa lakini ukashindwa kujua sehemu ambayo MENU ilipo.
Kama unatumia PC (Computer) Menu hua inaonekana wazi lakini kwa watumiaji wa simu ambao ndio wengi zaidi (Kulingana na takwimu yetu), huenda usijue menu ilipo.
Hapa chini nimekuwekea picha (screenshot) na mshale ambao unaonesha mahala ambapo unaweza kuiona menu yetu.
COMMENTS