Karibu utambae nasi katika Ulimwengu wa Simulizi
Rutayayana Shafii ni kijana wa miaka 28. Ni mzaliwa na mkazi wa Mkoani Kagera Mjini Bukoba.
Leo anatuletea simulizi yake ya maisha baada ya kukosea kuoa na kutumbukia familia ya wachawi na washirikina.
Hapa chini ni vodeo kamili, Karibu kuitazama👇
COMMENTS