Ndoto zetu zitatimia kwa Uwezo wa Muumba
Ni baada ya kusubiri kwa muda mrefu kupata Kamera ambayo ingekidhi haja zetu. Siku ya Tarehe 28/02/2021 Mungu alitujaalia kupata canon EOS M50 kutoka Zakuwan Computers kutoka Mjini Morogoro.
Shukran za dhati ziwaendee wote ambao wameshiriki katika kufanikisha zoezi hili.
🙏🙏🙏🙏
ReplyDeleteHongera
ReplyDelete