Tunahakikisha unafahamu mengi ikiwemo historia ya maeneo mbali mbali.
______________
Leo tunakuletea MAKALA MAALUM inayohusiana na eneo la maanguko ya maji (water falls) ambalo ni maarufu sana Mkoani Mbeya.
Eneo hili linaitwa Kaporogwe.
Fahamu historia, maana na mengi kuhusu eneo hili.
COMMENTS