Maisha yana changamoto nyingi sana. Lakini huenda kwa wenzetu wenye ulemavu yana changamoto zaidi. Fuatilia simulizi hii kufahamu mengi
Bakari Chuma ni mlemavu wa miguu. Katika maisha yake amepitia changamoto nyingi ikiwemo kudharauliwa na kukejeliwa. Kitu ambacho kilimfanya kumtia adabu mtu aliye mdharau ambaye alikuwa ni kondakta wa daladala.
Fuatana nami kuitazama video kamili ya stori yake hapa chini.
COMMENTS