Pata Mawaidha mazuri kutoka kwa Ustadh Ramadhani Waziri kutoka KWAMSISI HANDENI TANGA
Bila shaka unafahamu kuwa tunaingia katika mwezi wa Ramadhani ndani ya siku chache zijazo. Tunatakiwa kutubia na kurudi kwa ALLAH kwa haki kabisa.
Ustadh Ramadhan anatuwekea wazi jinsi gani mtu anaweza kutubia na toba yaka ikakubalika. Tazama video hii hapa chini kwa elimu zaidi.
Pia unaweza kutembelea channel yetu ya youtube "Bunduki TV" kwa mawaidha mengi na makal nyingine tofauti.
COMMENTS