YAFAHAMU MAMBO YANAYO SABABISHA KUVIMBIWA

Mbali na mada hii pia unaweza kupitia makala hizi.

Nadhani karibu kila mtu alishawahi kuipata hali hii (hasa utotoni)

Leo nakujuza kidogo kuhusiana na tatizo hili ya kuvimbiwa

Kuvimbiwa ni nini?

Kuvimbiwa ni ile hali ya mtu kupata haja chini ya tatu kwa wiki au haja kuwa ngumu.

Muda mwingine utakuta unabeua na kutoa harufu mbaya inayofanan na kinyesi. Inafikia kipindi mpaka unaona aibu kucheua mbele za watu.

Hali hii hutokea wakati utumbo mpana unaponyonya sana maji kutoka kwenye kinyesi na kukifanya kuwa kikavu na kupelekea kuwa ngumu kutoka nje.


Hizi ni sababu za kuvimbiwa

* Kutokula vyakula vya nyuzi nyuzi kama vile matunda na mbogamboga.

*Kutokunywa maji ya kutosha.

*Kutofanya mazoezi 

*Msongo wa mawazo

*Kubadilisha mizunguko ya kawaida ya maisha kama kusafiri au kubadilisha muda wa kulala.


Ni zipi dalili za kuvimbiwa?

*Kupata haja chini ya mara tatu kwa wiki

*Kuwa na kinyesi kikavu, kigumu na kinatoka kwa vitonge na huwa ni vigumu kutoka.


*Kuwa na kinyesi kikavu, kigumu na kinatoka kwa vitonge na huwa ni vigumu kutoka.

* Maumivu ya tumbo, uchovu na kichefuchefu.

Kuhisi kuwa hujamaliza haja lakini ukijaribu kutoa haitoki.

Watu wa umri wowote wanaweza kupatwa na kuvimbiwa mara kwa mara. Isipokuwa kuna watu au hali ambazo zina uwezekano mkubwa wa kusababisha kuvimbiwa zaidi. Hii ni pamoja na:-

Wazee huwa hawana nguvu za kutosha, mifumo yao ya umeng'enyaji wa chakula ni dhaifu hali inayopelekea kuvimbiwa mara kwa mara. 

Mwanamke, haswa wakati wa ujauzito na baada ya kujifungua. Mabadiliko katika homoni za mwanamke huwafanya kukabiliwa zaidi na kuvimbiwa. Mtoto ndani ya tumbo hugusa utumbo na kupunguza kasi ya kupita kwa kinyesi. 

Fanya mambo haya ili kuepuka tatizo hili
Ili kuondoa tatizo la kuvimbiwa unashauriwa kunywa maji ya kutosha kila siku, kula matunda kama Papai, mbogamboga na tende au juisi yake na kufanya mazoezi.

Asante kwa kuwa nasi

COMMENTS


Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,28,Dini,98,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,6,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: YAFAHAMU MAMBO YANAYO SABABISHA KUVIMBIWA
YAFAHAMU MAMBO YANAYO SABABISHA KUVIMBIWA
Mbali na mada hii pia unaweza kupitia makala hizi.
https://1.bp.blogspot.com/-FRHBraz_Z50/YGhMKzmob3I/AAAAAAAAfRw/iGqjb9Dkx7s_NHr-2kdwcYH5PxowuuemQCLcBGAsYHQ/s320/Image-Content-toll-constipation.png
https://1.bp.blogspot.com/-FRHBraz_Z50/YGhMKzmob3I/AAAAAAAAfRw/iGqjb9Dkx7s_NHr-2kdwcYH5PxowuuemQCLcBGAsYHQ/s72-c/Image-Content-toll-constipation.png
mrbunduki
https://www.mrbunduki.com/2021/04/ni-ile-hali-ya-mtu-kupata-haja-chini-ya.html
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/2021/04/ni-ile-hali-ya-mtu-kupata-haja-chini-ya.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content