DALILI 10 ZA UPUNGUFU WA DAMU UNAZOTAKIWA KUZIFAHAMU

Mara tu uonapo dalili hizi, fahamu kuwa una upungufu wa damu. Wahi kwa wataalam wa Afya

Upungufu wa damu ni tatizo linalosababishwa na kupoteza damu nyingi, kupungua kwa uzalishaji wa chembe hai za damu na uharibifu wa chembe za damu.

Hii ni kutokana na matatizo na magonjwa mbali mbali, ujauzito, hedhi nzito, magonjwa sugu na lishe duni yanye upungufu wa madini ya folic, madini ya chuma na vitamin B12

Dalili hizi zitakufanya utambue kama unakabiliwa na tatizo hili;-

1. Kuchoka sana

2. Maumivu makali ya kichwa

3. Kupungua kwa uwezo wa kufikiria

4. Sehemu nyeupe ya jicho kuwa bluu

5. Kushindwa kupumua vizuri

6. Vidonda kwenye ulimi

7. Miguu na mikono kuwa ya baridi sana

8. Kucha kuwa dhaifu

9. Ngozi kupauka na kuwa na rangi ya kijivu

10. Hasira kupita kiasi


Matibabu ya upungufu wa damu

Upungufu wa damu hutibiwa mapema kwa kubadili lishe pamoja na kuongeza lishe yenye vitamin C na vitamin B12 sambamba na madini ya chuma.

Pia wakati mwingine vidonge na sindano zenye lishe hizi huweza kutumia hospitali na matibabu ya tatizo hili.

Mgonjwa anapokuwa ameshaathirika kwa kiasi kikubwa huweza kuongezewa damu moja kwa moja.

COMMENTS

BLOGGER: 1


Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,29,Dini,99,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,6,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: DALILI 10 ZA UPUNGUFU WA DAMU UNAZOTAKIWA KUZIFAHAMU
DALILI 10 ZA UPUNGUFU WA DAMU UNAZOTAKIWA KUZIFAHAMU
Mara tu uonapo dalili hizi, fahamu kuwa una upungufu wa damu. Wahi kwa wataalam wa Afya
https://1.bp.blogspot.com/-hvNBGswJfSk/YJJTD7EqtOI/AAAAAAAAfks/kLcqkIZFtSo3GQZnQgu0Z9mFvPHbippEQCLcBGAsYHQ/w320-h142/anemiya-1.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-hvNBGswJfSk/YJJTD7EqtOI/AAAAAAAAfks/kLcqkIZFtSo3GQZnQgu0Z9mFvPHbippEQCLcBGAsYHQ/s72-w320-c-h142/anemiya-1.jpg
mrbunduki
https://www.mrbunduki.com/2021/05/dalili-10-za-upungufu-wa-damu.html
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/2021/05/dalili-10-za-upungufu-wa-damu.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content