NJIA SAHIHI YA KUJUA WATEMBELEAJI WA BLOG YAKO


 Unajua blog yako inatembelewa na watu wangapi kwa siku? 

Je wamesoma machapisho gani? 

Je wameingia kupitia kifaa gani? SIMU, LAPTOP AU TABLET

_ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _

Makala hii nitakufahamisha juu ya jambo hili.

Kama unatumia mtandao wa Blogger, bila shaka ukiingia katika sehemu yako ya kuchapisha ndani ya blogger sehemu ya stats itakuonesha idadi ya watembeleaji. Lakini fahamu kuwa idadi ile sio ya kweli hata. 

Google analytics ndiyo sehemu pekee ambayo unaweza kupata hesabu sahihi ya watembeleaji wa blog yako.

Idadi ambayo unaiona kwenye dashboard ya blogger imejumuisha na maroboti ambayo yanatazama blog yako na kuifanya iwe hai. lakini idadi ambayo utaiona kwenye google analytics ndiyo sahihi.

Unganisha blog yako na google analytics na ujiunge sasa, watakupa codes ambazo utazipest kwenye blog yako kisha utaanza kupata idadi kuanzia muda huo huo.

Tazama tofauti ya vielelezo hivi viwili.

BloggerGoogle analytics


Faida za kutumia Google analytics

1. Kujua idadi halisi
2. Kujua jinsia ya watembejeaji wako
3. Kufahamu nchi wanayotoka
4. Kujua ni mada gani zinapendwa zaidi katika blog yako
5. Kuwaona watumiaji waliopo online kwa wakati huo na kujua wanachokisoma
6. Inakupa moyo kujua mada gani hazisomwi

NYONGEZA

Pia google analytics unaweza kuidownload kwenye simu yako ya android na kutumia mbali na kwenye computer.

Ingia playstore na uipakue sasa kwa ajili ya matumizi na kuweka ku monitor blog yako kila wakati.

kama una swali/ushauri/maelezo niandikie hapo chini kwenye sehemu ya COMMENT au nitafute kwa namba zangu za simu zilizopo sehemu ya contacts.

COMMENTS

BLOGGER: 2


Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,29,Dini,99,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,6,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: NJIA SAHIHI YA KUJUA WATEMBELEAJI WA BLOG YAKO
NJIA SAHIHI YA KUJUA WATEMBELEAJI WA BLOG YAKO
https://1.bp.blogspot.com/-T4lwdO2f5-I/YI0D5lTVrYI/AAAAAAAAfcY/XGi40_wUSBUdXeadjseLy8GoxxwkGvfswCLcBGAsYHQ/s320/Publication1.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-T4lwdO2f5-I/YI0D5lTVrYI/AAAAAAAAfcY/XGi40_wUSBUdXeadjseLy8GoxxwkGvfswCLcBGAsYHQ/s72-c/Publication1.jpg
mrbunduki
https://www.mrbunduki.com/2021/05/njia-sahihi-ya-kujua-watembeleaji-wa.html
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/2021/05/njia-sahihi-ya-kujua-watembeleaji-wa.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content