IBADA YA HIJJA KUFANYIKA KWA UTARATIBU WA KUZINGATIA MASHARTI YA COVID - 19

Labbaika Allaahuma labbaika. Inna lhamda, wannaamata, laka walmulku laa sharika laka


Maelfu ya mahujaji waliochomwa chanjo ya COVID-19 wamekusanyika mji mtakatifu wa Mecca kwa ibada ya Arafa, huku Wakizingatia umbali wa mtu na mtu na kuvalia barakoa wakati virusi vya corona vikiiathiri kwa mwaka wa pili mfululizo ibada ya Hijja. ​

Ibada hiyo iliyokuwa inawaleta pamoja mahujaji zaidi ya milioni 2.5 kutoka kote ulimwenguni, sasa imeonekana kuwa na mistari michache na watu wachache kutokana na wimbi la COVID-19.​

Ibada hiyo haiwanufaishi tu watu kutoka nje ya Saudi Arabia, lakini pia taifa lenyewe kutokana na mabilioni ya dola iliyokuwa ikiingiza kila mwaka kutokana na maeneo yake matakatifu ya kuabudu kwa waumini wa dini ya kiislamu.​

Mahujaji 60,000 kutoka ndani ya Saudi Arabia ndio walioruhusiwa kuhudhuria ibada hiyo mwaka huu.​

Tunamuomba Mungu atuondolee janga hili ili mwakani ibada yetu irudi kama zamani. Aaamiiin. 

COMMENTS


Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,28,Dini,98,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,6,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: IBADA YA HIJJA KUFANYIKA KWA UTARATIBU WA KUZINGATIA MASHARTI YA COVID - 19
IBADA YA HIJJA KUFANYIKA KWA UTARATIBU WA KUZINGATIA MASHARTI YA COVID - 19
Labbaika Allaahuma labbaika. Inna lhamda, wannaamata, laka walmulku laa sharika laka
https://1.bp.blogspot.com/-CBklLG9ivJw/YPUS59jQSjI/AAAAAAAAh0g/x2vy4pLdix4YEUObWZsErSn54o__OEtCgCLcBGAsYHQ/s320/JamiiForums-708782480.jpeg
https://1.bp.blogspot.com/-CBklLG9ivJw/YPUS59jQSjI/AAAAAAAAh0g/x2vy4pLdix4YEUObWZsErSn54o__OEtCgCLcBGAsYHQ/s72-c/JamiiForums-708782480.jpeg
mrbunduki
https://www.mrbunduki.com/2021/07/ibada-ya-hijja-kufanyika-kwa-utaratibu.html
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/2021/07/ibada-ya-hijja-kufanyika-kwa-utaratibu.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content