IJUE MINYOO - AINA ZAKE, DALILI NA NAMNA UNAVYOWEZA KUIPATA

Je ni vipi na wapi naweza kupata minyoo? Na je Minyoo inatibika?? - SOMA MAKALA HII MPAKA MWISHO

MINYOO NI NINI?

Minyoo ni katika viume wanyonyaji, wanaoishi katika miili ya viumbe hai na kujipatia chakula humo. Minyoo wanaweza kuishi kwenye maeneo yenye majimaji kama kwenye maji, ndani ya viumbe hai kama mtu, ngombe, ngurue na paka. Minyoo pia wanaweza kuishi kwenye udongo. 

Minyoo wanaweza kusababisha maradhi ndani ya mwili wa kiumbe hai. Minyoo isipotibiwa inaweza kusababisha athari zaidi kwenye afya ya mtu. 

Makala hii inakwenda kukuletea dalili za minyoo.

Aina za minyoo:

Kuna aina za minyoo zipatazo 300,000 na kati ya hizo 300 tu ndio ambazo husababisha maradhi kwa binadamu. Minyoo imegawanyika katika aina kadhaa kulingana na tabia zao, jinsi wanavyozaliana na maeneo wanayoishi, pia na maumbile yako. 

Aina hizo za minyoo ni kama:-

Trichinosis

 Hawa tunaweza kuwapata kutoka kwa wanyama

Pinworm (thread worm)

Hawa ni wadogo sana na unaweza kuwapata kwa kuyala mayai yao kutoka pale yalipo. Kama utakuwa unanawa mikono mara kwa mara, kabla ya kula na huna tabia ya kula vidole ni ngumu kuwapata hawa minyoo.

Hookworm (roundworm) minyoo hawa husambazwa kupitia udongo na kinyesi.

Fluke; (flatworm) hawa wanaishi kwenye utumbo mdogo na meneo mengine. Tunaweza kuwapata kwenye vyakula na mboga zisizooshwa vyema.

Tapeworm (flatworm) unaweza kuwapata hawa kwenye maji machafu na kwenye vyakula.Je ni wapi naweza kupata minyoo?

Minyoo tunaweza kuipata maeneo mengi. Na katika miili yetu pia inaweza kuingia kupitia njia nyingi. Njia kuu ni kwa kupitia mdomoni kwa njia ya chakula, ama kinywaji. Lakini pia inaweza kupitia kwenye ngozi. Hebu tuyaone maeneo ambayo monyoo ipo sana.


- Kwenye majimaji

- Ndani ya maji

- Kwenye udongo

- Kwenye nyama

- Kwenye chakula kisichopikwa kama matunda

- Kwenye mbog za majani


Ni kivipi naweza pata minyoo?

kwa kugusa kitu chenye mayai ya minyoo, kisha ukapeleka mkono mdomoni bila ya kuosha

Kunywa maji yenye mayai ya minyoo

Kula chakula chenye mayai ya minyoo

Kula udongo wenye mayai ya minyoo

Unapotembea bila ya viatu maeneo machafu

Unapokula vyakula visivyopikwa ama vilivyopikwa kwa uchache kama nyama ya ngurue.


Ni ziipi dalili za minyoo?

Maumivu ya tumbo

Kuharisha, kutapika na kupata kichefuchefu

Tumbo kujaa gesi ama kuunguruma

Uchofu wa mara kwa mara

Kupunguwa uzito bila ya sababu maalimu

Tumbo kujaa na kuwa gumu


Ni vipi naweza kuepuka kupata minyoo?

Osha mikono kabla ya kula ama kuingiza mdomoni

Kula chakula kilichopikwa vyema

Usile matunda bila ya kuosha

Unapotembea kwenye ardhi chafu usitembee bila ya viatu

Kama unaishi na paka ama mbwa hakikisha yupo salama

Vinyesi vya wanyama kama paka, mbwa, na wanyama wafugwo wa nyama vihifadhiwe vyema.

Kuwa makini na nyama ya nguruwe.


JE minyoo inatibika?

Ndio mimnyoo inatibika tena kwa muda mchache tu. Kama unasumbuliwa fika kituo cha afya kwa vipimo zaidi. Makala inayofata tutazungumzia kuhusu matibabu ya minyoo.

COMMENTS


Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,28,Dini,98,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,6,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: IJUE MINYOO - AINA ZAKE, DALILI NA NAMNA UNAVYOWEZA KUIPATA
IJUE MINYOO - AINA ZAKE, DALILI NA NAMNA UNAVYOWEZA KUIPATA
Je ni vipi na wapi naweza kupata minyoo? Na je Minyoo inatibika?? - SOMA MAKALA HII MPAKA MWISHO
https://1.bp.blogspot.com/-OpQWXiP6vT4/YOBvmxfzepI/AAAAAAAAhvg/v7OIFB9GWdERh7Hxh9cUu1t-av8HXQF4wCLcBGAsYHQ/s320/2640855_1608109355795.png
https://1.bp.blogspot.com/-OpQWXiP6vT4/YOBvmxfzepI/AAAAAAAAhvg/v7OIFB9GWdERh7Hxh9cUu1t-av8HXQF4wCLcBGAsYHQ/s72-c/2640855_1608109355795.png
mrbunduki
https://www.mrbunduki.com/2021/07/ijue-minyoo-aina-zake-dalili-na-namna.html
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/2021/07/ijue-minyoo-aina-zake-dalili-na-namna.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content