MAZOEZI YANAYO ONGEZA NGUVU ZA KIUME KWA HARAKA ZAIDI

Chini ya makala hii kuna sehemu imeandikwa 'follow' bonyeza hapo ili usipitwe na makala zetu kila siku.


Nazungumza nawe mwanaume mwenzangu ambaye unahisi umepungukiwa au unakosa nguvu za kiume, unawahi kumaliza tendo au unakosa nguvu za kuendelea. 

Haya ni mazoezi manne ambayo yatakufanya kuwa imara zaidi ya ulivokuwa. Usikimbilie kutumia madawa yenye kemikali na sumu.

Huu ni muendelezo wa makala inayohusiana na mazoezi yanayo ongeza nguvu za kiume. 

Tumeamua kuendelea kuandika mtiririko huu kutokana na muitikio mzuria ambao tuliuona katika makala ya kwanza.

Kama uliikosa basi nimekuwekea hapa chini (pita nayo)

Mazoezi 6 yanayo ongeza nguvu za kiume

Chini ya makala hii kuna sehemu imeandikwa 'follow' bonyeza hapo ili usipitwe na makala zetu kila siku.


1. Mazoezi ya kegel

Utafiti unaonesha kuwa mazoezi ya kegel yana faida kwa wanaume na wanawake. Jarida maarufu la healthline linasema kuwa mazoezi ya kegel husaidia viungo vilivyopo chini ya nyonga kuboresha mawasiliano na udhibiti wa kibofu cha mkojo sambamba na kuimarisha tendo la ngono.

Lala chali kisha amsha kiuno chako kuelekea juu na kushuka chini huku ukiwa umeweka nyayo zako chini (hii ni moja wapo ya mazoezi hayo)

Nimekuwekea picha hapa chini ili kujifunza aina tofauti za mazoezi ya kegel.


Mbali na kuongeza nguvu za kiume pia huongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa.

2. Kuruka kamba
Hili ni zoezi ambalo huimarisha sana mzunguko wa damu, na kwakuwa uwezo wa nguvu za kiume hutegemea zaidi mzunguko wa damu kuwa mzuri basi zoezi hili limekuwa ni miongoni mwa mazoezi bora sana.

Unaweza kuruka miguu yote miwili kwa pamoja, au kuruka kwa mkguu mmoja. Fanya kwa zaidi ya dakika 15 kila siku asubuhi na jioni.


3. Ruka Kichura
Unaweza kudhani ni adhabu (ndio) lakini ni adhabu yenye mafanikio kwako. Kuruka kichura huimarisha zaidi maeneo ya magoti, mapaja na nyonga.

Mbali na kuimarisha misuli ya uume, zoezi hili husaidia sana kuwa na stamina katika tendo la ndoa na unaweza kufanya kwa muda mrefu sana.

Zoezi hili ni gumu, jiwekee tageti kila siku kufikia mahala fulani. Anza kidogo kidogo na jilazimishe kuendelea hata kama umechoka. Ni wazi kuwa zoezi hili huchosha sana hususan kwa anayeanza, lakini piga moyo konde kila siku ziendavyo utazowea.


4. Usingizi
Naam, jitahidi baada ya mizunguko yako na mishe zako za kila siku kupata usingizi wa kutosha ili kuimarisha na afya ya ubongo wako.

Kutokupata usingizi ni chanzo cha maradhi mengi katika jamii zetu. Ingawa wengi huchukulia ni jambo la kawaida.

Angalau usikose masaa 6 - 8 ya kulala kila siku. Lakini pia usizidishe sana kulala.

Maoni yako ni muhimu kwetu, kama una maoni, maswali, ushauru - tuandikie chini ya makala hii sehemu ya comment

COMMENTS


Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,29,Dini,99,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,6,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: MAZOEZI YANAYO ONGEZA NGUVU ZA KIUME KWA HARAKA ZAIDI
MAZOEZI YANAYO ONGEZA NGUVU ZA KIUME KWA HARAKA ZAIDI
Chini ya makala hii kuna sehemu imeandikwa 'follow' bonyeza hapo ili usipitwe na makala zetu kila siku.
https://1.bp.blogspot.com/-aLw_Y4OEtZ8/YSc1zy5nZ3I/AAAAAAAAh70/3o4YMAWw89UBvf1lAKjtP_BfrZoyfj46ACLcBGAsYHQ/w167-h146/979910fb5b0f26a22676d349ae26cf5a.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-aLw_Y4OEtZ8/YSc1zy5nZ3I/AAAAAAAAh70/3o4YMAWw89UBvf1lAKjtP_BfrZoyfj46ACLcBGAsYHQ/s72-w167-c-h146/979910fb5b0f26a22676d349ae26cf5a.jpg
mrbunduki
https://www.mrbunduki.com/2021/08/mazoezi-yanayo-ongeza-nguvu-za-kiume.html
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/
https://www.mrbunduki.com/2021/08/mazoezi-yanayo-ongeza-nguvu-za-kiume.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content